Habar za Leo ndugu wanajukwaa,
Siku chache zilizopita nilienda kwenye tawi la bank Moja maarufu hapa nchini kwaajili ya ku-process mkopo kutoka kwenye bank hiyo.Afisa mikopo alinipigia mahesabu na ikaonekana kuwa naweza kupata kiasi cha zaidi ya milioni tisa za Kitanzania.Leo nikampigia cm...
Daah maisha yanatupitisha kwenye moments ambazo ni ngumu kusahaulika. Moja ya moment ambayo sitakuja kuisahau ni jinsi Bank ya Finca ilivotufanyia somba somba alooo.
Nakumbuka mwaka 2010 tumekaa ofisini na mama (ofisi ya kushona nguo maana wazazi wangu wote ni mafundi kushona na kipindi hicho...
Habari wadau.
Jana nilienda kifanya process za mkopo NMB, lakini loan officer akituma taarifa zangu naambiwa loan rejected sina sifa kwa vile nilikopa Timiza Airtel nikachelwa kulipa hivyo kampuni imenishtaki.
Hapo huu mkopo wa Timiza nilichukua ila nikalipa kwa riba maana nilizidisha miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.