Daah maisha yanatupitisha kwenye moments ambazo ni ngumu kusahaulika. Moja ya moment ambayo sitakuja kuisahau ni jinsi Bank ya Finca ilivotufanyia somba somba alooo.
Nakumbuka mwaka 2010 tumekaa ofisini na mama (ofisi ya kushona nguo maana wazazi wangu wote ni mafundi kushona na kipindi hicho...