mikopo chechefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Kampuni zinazokopesha kiholela mitandaoni kufungiwa na BOT kumeepusha Watanzania na bomu la limbikizo la madeni makubwa yasiyolipika

    Maisha ya mjini, kama vile Dar es Salaam, yamejaa changamoto za kifedha, huku dharura za ghafla zikivuruga bajeti za familia nyingi. Katika miaka iliyopita, kampuni za kukopesha fedha mtandaoni zilionekana kama mkombozi wa haraka kwa wengi waliokuwa wakihitaji pesa za dharura. Hata hivyo, nyuma...
  2. MamaSamia2025

    Enyi wanawake wa Tanzania nani aliwaloga kuhusu michezo ya kuwekeana pesa?

    Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE. Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana...
  3. TODAYS

    TAHADHARI: Benki Kuu, Kuna Uhalifu Kwa Wakopeshaji Mtandaoni

    Uryevyedi mdau Mtanganyika!. Basi ndugu yangu ikiwa nchi imefunguka na pesa zimejaa kwenye mifuko na account za watu huko walipo hali ipo hivi. Watu/Taasisi binafsi kwa sasa zinatafuta watu wa kuwakopesha kwa nguvu na hali kubwa sana, wanaunda App na kuilipia kama Ads kwenye mitandao ya...
  4. M

    KERO Kausha damu ni changamoto kwa waalimu

    Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali hasa walimu inayopelekea msongo wa mawazo na wengine kujiua. Amezungumza hayo mkurugenzi wa...
  5. Replica

    EU yazipa benki za ndani bilioni 43 kuziwezesha biashara ndogo na za kati

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa €15 milioni (Sh43 bilioni) kusaidia shughuli za Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nchini Tanzania. Fedha hizi zitaunganishwa na mikopo kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kutoa mikopo kwa benki za ndani, na maendeleo haya makubwa yanalenga kuboresha upatikanaji wa...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Hawa wakopeshaji wa mitandaoni wamesajiliwa na serikali au ni matapeli wanaofanya kazi kwa kificho?

    Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%. Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali. Au vibali vyao viko safi tu mbele...
  7. Olivia pop

    Mahakama yakubali pingamizi la Equity benki katika mikopo chechefu

    - Yakataa kupokea baadhi ya vielelezo vilivyotakiwa kujumuishwa nje ya utaratibu - Katika kesi baina yao na CRC inayotetewa na wakili Mwalongo - Ni mfululizo wa kesi za mikopo chechefu inayosikilizwa mbele ya jaji Prof. Ubena Agatho wa Mahakama Kuu SIKU chache baada ya Makakama ya Rufaa...
Back
Top Bottom