Habarini ndugu,
Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom?
Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo?
(Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful ).
Then selection 2 inatoka account ya dogo ikachange kuenda SIPA lakin kila tukijalibu kuangalia...
Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15...
Habari wanajukwaa.
Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA.
Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA.
Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia.
Mbaya zaidi hata...
huduma za rita
kuhakiki vyeti
mikopoelimuyajuu
mkopo wa chuo
rita
rita kuhakiki vyeti
rita kuhakiki vyeti vya kuzaliwa
uhakiki wa vyeti
verification
vifo
vizazi
vyeti vya kuzaliwa
Mbunge wa Iringa Mjini Madam Jesca Mtambasavangu bila kumung'unya maneno ameshutumu vikali tabia ya wanavyuo kutumia Fedha za Mkopo wa Kujikimu Boom kubeti badala ya kusoma na kutumia Kwa malengo yaliyokusudiwa.
Akiongea Bungeni Kwa Uchumi amewashangaa Vijana wanaodhani betting itawatoa...
bodi yamikopo
boom kubeti
elimu chuo kikuu
heslb
jesca mtambasavangu
kukopesha mkopo
kukopeshwa boom
mikopo chuo kikuu
mikopoelimuyajuu
mkopo elimuyajuu
"Mikopo ni fedha. Tangu shughuli ya kukopesha fedha imeanza miaka 19-20 takriban Tril.7. 3 zimewekezwa. Huu unaitwa ni uwekezaji wa Serikali katika rasilimali watu. Na wanufaika Laki Saba wamepata mikopo.
"Katika miaka Mitano au Sita kuanzia 2020-21 kiasi cha bajeti kilichopitishwa ni Bil. 464...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka.
Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
Ni vicheko kwa wanafunzi 56,132 waliopangiwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini baada ya kupangiwa mikopo ya elimu ya juu katika awamu ya kwanza inayoenda sambamba na nyongeza ya fedha za kujikimu kutoka Shilingi 8,500 hadi Shilingi 10,000.
Itakumbukwa kuwa Februari mwaka huu Rais Samia...
Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya.
Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.