Wakati serikali inajitahidi kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana kwa kutoa mikopo nafuu kwa vijana kwa ajili ya kuanzisha na kuendeleza biashara na shughuli mbalimbali za ujasiriamali, jitihada hizo zinazimwa na watendaji wa ngazi za chini hasa katika ngazi ya kata ambapo kumekuwa na...