Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa.
Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
benki kuu
benki kuu ya tanzania
kudhalilisha
kuhusu
marufuku
mikopomikopokaushadamumikopo mtandaoni
mikopo ya mitandaoni
mitandaoni
mwongozo mikopo mtandaoni
sana
tanzania
yapiga marufuku
Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo.
Akizungumza katika program ya elimu ya fedha kwa wananchi wa Mji Mdogo wa Mikumi, Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Afisa...
Miongoni mwa changamoto nyingi zinazowakumba watumishi wa serikali ni mikopo almaarufu kama Kausha damu, ambapo inasemekana kua mikopo hiyo imekua changamoto kubwa sana kwa wafanyakazi wa serikali hasa walimu inayopelekea msongo wa mawazo na wengine kujiua.
Amezungumza hayo mkurugenzi wa...
Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini.
Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi...
Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%.
Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali.
Au vibali vyao viko safi tu mbele...
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?
Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.
Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.
BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye amesema Serikali imetoa maeleko kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwafuatilia na kuchunguza Watu wanaotumia taarifa za waliowakopesha Mtandaoni kwa lengo la kudhalilisha wakopaji.
Amesema maelekezo hayo pia...
Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaack Anthony Mwakisu akizungumza na wataalamu kutoka Wizara ya Fedha katika Ofisi yake iliyoko mkoani Kigoma. Lengo lilikuwa kutoa elimu kuhusu masuala ya fedha kwa wakazi wa eneo hilo ikiwa ni jitihada za Serikali kuelimisha jamii kuhusu masuala ya kiuchumi na...
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea.
Hili kwa sasa ni tatizo kama...
Shemeji yangu amemuoa binamu yangu, na wanaishi mkoani. Kaja Dar kufuatilia issue zake kadha wa kadha.
Kwa bahati mbaya siku chache alipata ajali ya pikipiki, amevunjika mguu na Leo kaingizwa chumba cha upasuaji.
Vitu vyake vimekabidhiwa kwangu kwani matibabu yake nayasimamia Mimi, MKE wake...
Serikali imetoa wito kwa watoa huduma za kifedha nchini kufuata sheria na taratibu za huduma za Fedha ikiwemo kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuhakikisha huduma hizo zinatolewa kwa ufanisi bila kuwaumiza na kuwadhalilisha wanufaika na hatimaye kukuza uchumi wa nchi.
Akizungumza...
Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu.
Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe.
Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa.
Kwa maelezo ya wanawake wengi...
Wakuu,
Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka!
Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.