Shemeji yangu amemuoa binamu yangu, na wanaishi mkoani. Kaja Dar kufuatilia issue zake kadha wa kadha.
Kwa bahati mbaya siku chache alipata ajali ya pikipiki, amevunjika mguu na Leo kaingizwa chumba cha upasuaji.
Vitu vyake vimekabidhiwa kwangu kwani matibabu yake nayasimamia Mimi, MKE wake...