Wanajamvi habari zenu,
Kama kawaida nikikutana na kitu kipya lazima nikileta hapa kwa faida ya wengine. Ni kwamba wiki iliyopita nilikuwa nimeomba mkopo wa milioni 30 hivi kwenye mojawapo ya benki hapa nchini. Hii benki nimekuwa mteja wao tangu 2006 kama sikosei nimeshakopa kwao kwa zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.