Watoa huduma ndogo za fedha na vikundi vya kijamii nchini vinavyojihusisha na huduma za mikopo vimetakiwa kuwapatia nakala ya mkataba wananchi wanaowakopesha mikopo.
Akizungumza katika program ya elimu ya fedha kwa wananchi wa Mji Mdogo wa Mikumi, Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Afisa...