BOT walitoa tamko kutoitambua baadhi ya kampuni za mikopo online,nakuelekeza ziache operations zake.
Mbona bado zinafanya kazi na msg bado zinatumwa Kwa watu? Hii inamaanisha nini wakuu?
PIA SOMA
- BoT yakataza rasmi kampuni za mikopo mitandaoni kuchukua mawasiliano ya wateja ili...
IIe mikopo yetu ya mtandaon na makelele watu wanatumiwa msg za madeni wasiohusika nilijua ziko Tanzania tu
Hii michezoo iko hadi Kenya. Benki kuu imelaan tabia inayoendelea na wahusika wanaokopesha mtandaon na kuanza kuwasumbua watu walio kwenye cont za mdaiwa
Wamesema makubaliano n anaechukua...
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
application
benki kuu
benki kuu ya tanzania
fedha mtandaoni
kukopesha
makampuni
mikopomikopomtandaonimikopo ya kausha damu
mikopo ya mitandaoni
mitandaoni
mmoja
mradi
mtandaoni
mtu
mtu mmoja
tanzania
utoaji mikopo
UCHUNGUZI wa Nipashe umebaini baadhi ya namba za simu zinazotumika kudhalilisha wakopaji hazina utambulisho wa Tanzania, yaani ZIP CODE +255.
Katika ufuatiliaji wake, mwandishi alibaini kuwa kwa siku mtu mmoja anaweza kupigiwa simu na watu 10 tofauti wakizungumza jambo tofauti juu ya mkopo...
Naomba kufahamu ni namna gani makampuni ya mikopo mtandaoni hasa yanayotoa mikopo kwa watumishi wa uma yanatambua kua mtu ni mtumishi wa umma? Sababu ukiingia tu kwenye utumishi wa umma unaanza kupokea meseji zakuhamasisha kukopa ingawaje hujawai kuwapa taarifa za mawasiliano na wengine hufika...
Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa.
Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
benki kuu
benki kuu ya tanzania
kudhalilisha
kuhusu
marufuku
mikopomikopo kausha damu
mikopomtandaonimikopo ya mitandaoni
mitandaoni
mwongozo mikopomtandaoni
sana
tanzania
yapiga marufuku
Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
Wakuu
Habari niliyoipata kuhusu utitiri wa apps za mikopo mtandaoni kuwa nyingi na zenye riba kausha damu huku zikiwa na kero kubwa kwa mkopaji ndugu na jamaa ni kwamba zinamilikiwa na boss kijana tanzania na africa kwa ujumla fobes wanamjua
Bilionea huyu amekuwa mnyonyaji kwa watanzania wa...
Baadhi ya App za Mikopo zinatesa wananchi wanaandika wanakopesha kwa siku 100 lakini baada ya siku nane wanadai wananchi.
Riba zao pia ni kubwa sana na ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida.Serikali ifuatilie hili kwa kina kama haina maslahi nalo.
Wananchi pia wapewe uelewa kuhusu Mikopo hii...
Binafsi sio tapeli ila nikiri kwamba niliamua kuwanyoosha hawa wakopeshaji wa mtandaoni baada ya mmoja wao kunichafua,
Nilikuwa mkopaji mzuri wa app fulani jina nalihifadhi nikilipa walikuwa wananiomba nikope tena na tena basi kwangu ikawa kama mazoea kopa lipa
Tabu na mateso vilianza pale...
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?
Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.
Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.
BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU
Nchi hii kuna mambo ambayo bila kuongelewa na wanasiassa au watu maarufu, mambo hayo huendelea kufanyika hata kama yako kinyume cha sheria na yanaumiza wananchi.
Mojawapo na hili la mikopo ya mitandaoni ambalo hata Raisi wa nchi sidhani kama amewahi kuliongelea.
Hili kwa sasa ni tatizo kama...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X.
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na Kampuni hizi.
Nimejaribu kadhaa na hakuna ya afadhali, unakuta inakusanya taarifa hizi:-
SMS - yan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.