Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano ni hizi +255 780 525 780 tuwe makini na tuwaripoti iwezekanavyo___
MO DEWJI FOUNDATION ipo ndio...
Anonymous
Thread
dewji
foundation
loan
mikopomikopoonline
mo dewji
online
Kwa Niaba ya Wadau wananchi wa kawaida kabisa nadhani ni wakati sahihi wa kupazia sauti kadha hii ambayo imefumbiwa macho kwa muda mrefu na vyombo vyetu husika.
Week chache zilizopita niliamua kuvalia njunga swala moja la mtu ambae alikua akidaiwa na App moja ya Mtandaoni ikiitwa *SUNN LOAN...
Kila nikiingia Facebook, nakutana na tangazo la Tulia Trust Foundation Mikopo online ambapo tangazo hili linatangaza kuwa Foundation hiyo ya Tulia inatoa mikono online.
Sina interest ya kujaribu kuomba mikopo wowote, ila concern yangu ni ukweli wa kilichoandikwa kwani utapeli kwa kutumia...
Ni nani mmliki wa kampuni ya ukopeshaji mtandaoni ya EasyBuy?
Inadhalilisha watanzania. Tunaomba ifutwe na mmliki akamatwe.
Ukikopeshwa Tsh. 98,000 riba ni Tsh 42,000.
BAAADHI YA MICHANGO KWENYE MJADALA HUU
Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe.
Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
Ndugu zangu wa Tanzania,
Kuna kampuni inayotoa huduma za kukopesha pesa mtandaoni ambayo inajulikana kwa majina kadhaa katika aplikesheni zake, ambayo kwa ujumla hutumia jina la "Singularity". Sijawahi kukutana na kampuni inayoendeshwa hovyo kama hii! Nimekuwa nikikopa pesa mara kwa mara kutoka...
Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao.
Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Rais Samia Suluhu Hassan alimsihi kuacha kujibizana na watu mitandaoni na badala yake asimamie falsafa ya R4.
Nape ameyasema hayo leo Machi 27, 2024 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, katika kilele cha...
Kuna app za mikopo mitandao wanatoa mikopo kwa riba kubwa sana na ikitokea umechelewa kuwalipa kwa muda wanawatumia SMS namba zote unazowasiliana nazo na kuwaambia umekopa na kuwaweka wao mdhamana.
Je kisheria ipo sawa hiyo kudukuliwa mawasiliano yako. Moja ya hizo app ni PESA M LOAN. Tunaomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.