Sasa kuna changamoto imejitokeza hapa chuoni kwetu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), ni kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata mkopo mwaka jana (2023) na ambao waliokata rufaa.
Sasa kinachotokea ni kwamba Tawi la CCM Main Campus linawahamasisha na limetoa tangazo kwamba ili mtu upewe mkopo wa...