Mhadhara - 43:
Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE.
Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana...
Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha mikataba.
Mmiliki kwa kuwa tabia yake ni kudhulumu mali zetu, pindi unapotaka kumaliza deni ofisi...
Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%.
Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali.
Au vibali vyao viko safi tu mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.