mikopo umiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ''Kausha damu" waliupisha upepo kisha wamerudi tena kwa kishindo

    Mhadhara - 43: Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
  2. Enyi wanawake wa Tanzania nani aliwaloga kuhusu michezo ya kuwekeana pesa?

    Hii sasa imevuka mipaka. Migogoro na ugomvi ni wa kutosha baada ya kudhulumiana pesa. Michezo ni mingi mno. Kuna hadi michezo ya vyombo. Michezo karibu yote haifuati sheria wala utaratibu unaoeleweka. Mbaya zaidi utakuta vikundi vingine ni vya ONLINE. Wewe mwanamke wa Tanzania nakuamuru achana...
  3. DOKEZO Taasisi ya kukopesha ya Imarika inavyodhulumu mali za wateja kwa mikopo umiza mkoa Dodoma

    Sisi wakazi wa Dodoma tumechoshwa na mmiliki wa kampunı ya ukopeshaji Fedha ya Imarika, imekuwa ikitoa mikopo umiza kwa riba kubwa ya asilimia 40, imekuwa akidhulumu dhamana zetu kwa kubadilisha mikataba. Mmiliki kwa kuwa tabia yake ni kudhulumu mali zetu, pindi unapotaka kumaliza deni ofisi...
  4. MUAROBAINI WA MIKOPO UMIZA, MAREJESHO nk huu hapa!

    editing.....
  5. Hawa wakopeshaji wa mitandaoni wamesajiliwa na serikali au ni matapeli wanaofanya kazi kwa kificho?

    Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%. Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali. Au vibali vyao viko safi tu mbele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…