Vikundi 111 vya akina mama, vijana, na wenye ulemavu katika Halmashauri ya Sengerema, mkoa wa Mwanza, vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 kutoka kwa Halmashauri hiyo.
Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, akikabidhi hundi ya Shilingi milioni 362 katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake...