Leo nimepita Sabasaba nikaona kuna Kampuni fulani (Jina Kapuni) inatoa mikopo ya Pikipiki na Tukutuku.
Mjanja M1 nikajisogeza taratibu kuokota Dodo la mkopo wa Bajaji.
Lahaullah Walakuwata! nilishtuka sana kuambiwa marejesho ni zaidi ya ulichokopa, yani kama umekopa 10 Million wanakutaka...