mikopo ya biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya biashara Tanzania ni kwa ajili ya kuziua biashara na sio kuzikuza

    Tayari nimeweka nia ya kutojihusisha na mikopo ya aina yoyote ile mwaka 2026. Iwe benki, viccoba au wowote ule nitakaa nao mbali. Yaani nimejiahidi kama nilivyojiahidi kutofanya mapenzi hadi nimalize form 6 na nikafanikiwa. Hii mikopo sio kabisa. Kimsingi ukipiga hesabu ya marejesho ukajumlisha...
  2. JamiiForums Tanzania Athari za Mkopo wa Biashara, Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka Benki, nimejikuta katika hali ngumu sana

    Utangulizi Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka CRDB, nimejikuta katika hali ngumu sana. Sijawahi kufikiria kwamba mkopo unaweza kuathiri maisha yangu kwa namna hii. Kila usiku, ninasumbuliwa na mawazo ya kurejesha pesa hizo, na matokeo yake ni kukosa usingizi. Ni kama vile mzigo mzito...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…