mikopo ya halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Program Manager

    KERO Mikopo ya asilimia 10 ni Changamoto

    Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote. Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi na kuinua mitaji yetu. Changamoto ni kwamba tunaunda vikundi ,tunaandaa katiba na vielelezo vyote...
  2. A

    DOKEZO Mtendaji wa Mtaa Halmashauri ya Mji Njombe analazimisha Mgao wa Pesa za Mikopo ya Asilimia 10 ya vikundi vya Wanawake,Vijana na Walemavu

    Habari Mimi ni kijana nipo Njombe Mjini, Hivi Karibuni Halmashauri ya Mji wa Njombe ilitoa Mikopo Kwa vikundi vya wanawake,Vijana na watu wenye ulemavu zaidi ya Billion 1.8, Kikundi chetu Cha vijana tulipokea zaidi ya Milioni 30 Mchakato wa kupata mkopo wa Halmashauri huwa unapitia kwa mtendaji...
  3. The Watchman

    RC Chongolo: Vijana msitumie mikopo mnayopata kutoka halmashauri kulipa mahali

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amewataka Vijana kutotumia fedha wanazokopeshwa na Halmashauri kulipia mahari badala yake wafanyie shughuli za maendeleo akieleza kuwa Wanawake wamekuwa waaminifu kurejesha fedha hizo za asilimia 10 zinazotolewa na Halmashauri kuliko Vijana wa Kiume. RC...
  4. M

    Msaada wa Katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu kwenye mikopo ya Halmashauri

    Nianze kwa salaam Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri nimejaribu kwenda kwa mawakili lakin wanataka hela nyingi na uwezo huo Sina Hivo nikaona nije hapa JF Kuna...
  5. OR TAMISEMI

    Dodoma: Timu ya wawezeshaji yanolewa utaratibu mpya mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Adolf Ndunguru amefungua mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 kwa wawezeshaji wa Kitaifa na kuwataka washiriki hao kuhakikisha wanaelewa vema ili kwenda kufundisha wengine kwa viwango vinavyokubalika. Akifungua mafunzo hayo kuhusu utoaji na usimamizi wa mikopo ya...
  6. Ojuolegbha

    Changamkieni asilimia 10 za mikopo ya Halmashauri

    - SOKO LA BWILINGU NI FURSA KWA KILA MTU AELEZA MHE. MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze kuwapeleka Maafisa Maendeleo...
  7. ChoiceVariable

    Kuna Wizara ya Afya, Wizara ya Ustawi wa Jamii, Watoto, Jinsia na Walemavu wao wanafanya kazi gani ikiwa Makonda ndio anasaidia wahitaji?

    Anajua kazi ya Wizara ya Ustawi wa Jamii,Jinsia, Walemavu na Watoto aniambie maana naona Makonda Toka akiwa Mwenezi alikuwa anafanya hii kazi. Wao wanaliowa Mishahara Kwa kaiz hizo na hawafanyi Sasa wanalipwa Kwa Ajili ya nini hasa? Yaani Wameshindwa kuratibu na kujua watu wenye uhitaji hasa...
  8. M

    SoC04 Kufikia Tanzania Tuitakayo: Kufungamanisha mikopo ya Halmashauri na mkakati wa manunuzi ya umma kupitia makundi maalum

    Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo hafifu kutokana na ongezeko kubwa la watu. Hivi sasa Tanzania inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni...
  9. R

    SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

    Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa. Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
  10. BARD AI

    Kawaida alia kuondolewa mikopo ya halmashauri kwa vijana

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ali Kawaida ameitaka Serikali Kuu na Mkoa wa Dar es Salaamu kutekeleza mambo manne ikiwemo kuharakisha mchakato wa kurejea upya mikopo ya asilimia 10 iliyositishwa Aprili mwaka huu. Mambo mengine ni kuhakikisha inamaliza...
  11. peno hasegawa

    Maafisa maendeleo ya jamii walisomea wapi kozi ya kugawa mikopo ya Halmashauri?

    Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu. Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo? Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali? Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
  12. Kwekajr

    Kwanini serikali isipunguze idadi ya watu kwenye utoaji wa mikopo ya wakinamama na vijana?

    Habari wapendwa. Hivi kwanini serikali isipunguze idadi ya watu kwenye utoaji wa mikopo ya wakinamama na vijana kutoka watu 5 hadi wa tatu?
  13. Lady Whistledown

    Dar: Bilioni 44 za Mikopo ya Halmashauri hazijarejeshwa, zimeliwa

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, ameagiza kufuatiliwa kwa marejesho ya mikopo ya Halmashauri inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu huku ripoti zikionesha tangu mikopo hiyo ianze kutolewa ni bilioni 18 pekee zimerejeshwa huku bilioni 44 zikiwa hazijarejeshwa. RC...
Back
Top Bottom