Mimi ni kijana Mjasiriamali,miongoni mwa vijana wanaostahili kupata mikopo hii kwani Ninakidhi vigezo vyote.
Lengo la kutoa mikopo hii lilikuwa ni kutuwezesha sisi wajasiriamali kuinuka kiuchumi na kuinua mitaji yetu.
Changamoto ni kwamba tunaunda vikundi ,tunaandaa katiba na vielelezo vyote...