Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewaonya wanawake wa Wilaya ya Msalala kukopa mikopo ya kausha damu badala yake ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa wanawake, vijana na watu wenye walemavu.
Macha ameyasema hayo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza.
Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
Habari wana JF.
Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana.
Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao hawahusiki na huo mkopo.
Nimekuwa nikipokea message kutoka kwa hawa jamaa wakidai nimewekwa kama...
Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
application
benki kuu
benki kuu ya tanzania
fedha mtandaoni
kukopesha
makampuni
mikopomikopo mtandaoni
mikopoyakaushadamumikopoya mitandaoni
mitandaoni
mmoja
mradi
mtandaoni
mtu
mtu mmoja
tanzania
utoaji mikopo
Mhadhara - 43:
Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...
Mueleko wa nchi za Africa katika upande wa uchumi kuhusiana na madeni kwa miaka ya mbeleni sio mzuri sana.
Nchi takribani 20 za Africa zinakabiliwa na changamoto kubwa ya madeni, hii ni kutokana na ukopaji wa juu sana katika miaka 10 iliyopita. Hali tayari imepelekea nchi 3 (Ghana, Zambia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.