Mhadhara - 43:
Siku hizi kumekuwa na vibanda vingi sana mitaani almaarufu "Kausha Damu" ambavyo vinakopesha pesa kwa watu wa hali ya chini kwa riba kubwa, mikataba migumu, na masharti ya kusaga meno. Na pindi wakopaji wanapochelewesha marejesho wanaporwa mali zao bila utaratibu mzuri, kama vile...