Wakuu,
Huko nchini Kenya mambo yameendelea kuwa ya moto.
Hivi karibuni ripoti ya Hazina ya Taifa imeonyesha kuwa kati ya Septemba 1 hadi Desemba 31, 2024, serikali ya Kenya ilikopa jumla ya KSh68.65 bilioni (Trilioni 1 moja Bilioni 3 Tshs) sawa na wastani wa KSh562.7 milioni (Billion 11 na...