Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuwa imebaini kuwepo kwa Majukwaa na Programu Tumizi 'Applications" zinazojihusisha na utoaji wa mikopo kidijitali bila ya kuwa na leseni na idhini kutoka Benki Kuu ya Tanzania.
Aidha, Majukwaa na Programu hizo zimeshindwa kukidhi matakwa ya...
application
benki kuu
benki kuu ya tanzania
fedha mtandaoni
kukopesha
makampuni
mikopomikopo mtandaoni
mikopoya kausha damu
mikopoyamitandaonimitandaoni
mmoja
mradi
mtandaoni
mtu
mtu mmoja
tanzania
utoaji mikopo
Wakuu,
Kwa muda mrefu sasa, wakopaji wengi wa mitandaoni wamekuwa wakilalamika kuhusu kitendo cha baadhi ya apps za mikopo ku-access list ya mawasiliano ya wateja na kisha kuwatumia message baadhi ya contacts iwapo mteja ameshindwa kulipa.
Soma pia: Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya...
benki kuu
benki kuu ya tanzania
kudhalilisha
kuhusu
marufuku
mikopomikopo kausha damu
mikopo mtandaoni
mikopoyamitandaonimitandaoni
mwongozo mikopo mtandaoni
sana
tanzania
yapiga marufuku
Udharura wakati mwingine hutupata sisi binadamu hata wakati mwingine uwe na mali za wingi wa kiasi gani lakini Udharura ipo siku utakupigia hodi.
-My question is that, wakati unapoazima fedha kwenye kampuni hizi, hukuomba namba yako ya simu, na namba mbili, za watu ambao huwa kama wadhamini...
Katika uchunguzi mpya, imefahamika kwamba kumekuwa na udhalilishaji na madhila makubwa yanayowakumba watu wanaowadaiwa na wakopeshaji wa mitandaoni
Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo, Jackline Meena, anasema alikopa Sh. 50,000 lakini alilipa Sh. 250,000 na waliendelea kumdai na alipogoma kulipa...
Sitaki salamu na mtu!
Kijana wangu wa dukani kaniibia pesa zote kasepa.
Maumivu zaidi line zangu za Vodacom zimetumika kukopa milion 2.8 bila ridhaa yangu. Hii pesa ina riba kubwa kila siku sh 20500
Nimeenda voda kuwaomba walau wasimamishe riba sijawaelewa hawaeleweki. Sasa nnampango wa...
Ni kama mwezi sasa au wiki kadhaa tangu benki kuu ya Tanzania itoe waraka wa kuwataka wakopeshaji wa mitandaoni wanaolalamikiwa kufuata taratibu ikiwa pamoja na kuacha lugha za matusi, kutokusumbua ndugu na jamaa wa mkopaji, kutokusambaza taarifa za mkopaji.
Mimi nilisema hakuna hata kimoja...
Jamaa ni kama wametumwa kutoka kuzimu kuondoa amani ya watu duniani.
Ni kama mashetani, nahisi hata zilipo ofisi zao ni sehemu ya kificho.
Wanajua kukera mno.
Hawaelewi chochote zaidi ya fedha.
Wafanyakazi malipo yao yako kulingana na jinsi wanavyokusanya, hivyo wako tayari kwa lolote ili tu...
Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.