mikopo ya mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uwesutanzania

    Je ni app gani mzuri kwa mikopo ya mtandaoni

    Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika? Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
  2. A

    DOKEZO Sheria ya Mikopo ya Mtandaoni bado inavunjwa kwa kutoa siri za mteja

    Pamoja na sheria ya mikopo ya mitandaoni kusainiwa, lakini bado kuna baadhi ya vijikampuni vinatoa siri za wateja wanapochelewa kulipa kwa kutuma msg za kumdhalilisha mkopaji, kwa watu ambao wapo kwenye simu yake hii ni kinyume na sheria ilisainiwa. Tungependa kupata muongozo sahihi kwa watu...
  3. JanguKamaJangu

    Benki Kuu yasema “Application 55 za Mikopo ya Mtandaoni hazijasajiliwa”

    Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius Mnyamani na kuongeza kuwa baada ya muda wa uhakiki kupita, Application hizo zitafungiwa kutoa huduma...
  4. S

    TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  5. maroon7

    Mikopo ya mitandaoni lawama zinawahusu pia TCRA, msikwepe

    Nimeskia redioni TCRA wanasema hawahusiki na hiki kinachoendelea kwenye mikopo mitandaoni. TCRA mnaweza kuwa hamuhusiki kweli ila na nyie pia mmezembea sana kama wenzenu BOT licha ya makelele mengi kuhusu hawa mikopo mitandaoni ambao wengi hawajajisajili na wala hawana physical address. kwanza...
  6. B

    Kampuni ya mikopo ya Pesa X hawana lugha nzuri kwa wateja

    Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote. Mimi naomba mamlaka husika hawa watoa mikopo online zipunguwe kama hawa watu wanaoitwa Pesa X hawana lugha nzuri kabsa.
  7. Pdidy

    Kila ukiingia mtandaoni unakutana na swali: "Je, unataka mkopo?" Na sisi tunawauliza; je, mmetumwa?

    Je, mnataka kuzulumiwa? Je, mnataka tukope tuwakimbie? Je, mnataka tusiwalipe? Je, mtatushtaki wapi? Je... Je.... Je... Embu acheni hizo bwana msitake tukope tuanze kuaibishanaa kwenye msg pls
  8. OCCID Dominik

    Mnafanyaje kupata mkopo kwa haraka na ipi kampuni nzuri inayokopesha online?

    Wakuu nahitaji nikopeshwe kwenye haya makampuni ya online,nimedownload app kadhaa na kuomba najaza taarifa zooote muhimu mwishowe naambiwa nisubiri baada ya nusu saa ntajibiwa halafu inakuwa holla.. Vipi wazoefu KAMPUNI ya uhakika ni ipi na nifanye je?
  9. S

    Application za mikopo ya mtandaoni, ni mradi wa vigogo kukusanya hela za kampeni 2025 na ndio maana hii biashara inafanyika kama nchi haina serikali?

    Naomba kwa kuuliza maswali haya: Hivi Mtanzani wa kawaida unaweza kuendesha biashara ambayo haina vibali vya serikali huku ukitumia mitandao ya simu kufanya biashara na serikali ikashindwa kukubaini/kukukamata? Tuchukulie imeshindwa kukukukamata, je serikali itashindwa hata kutoa agizo kwa...
Back
Top Bottom