Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais.
Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho.
Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji kuishi katika nchi hii. Mikopo tunayokopa leo huku Waziri wa Fedha akitabasamu akiwa na afya tele...
Watanzania sio kama tunapinga nchi yetu kukopa, kinachowafanya wananchi waonekane kuogopa nchi kukopa ni uwezo mdogo wa watendaji wetu wa kusimamia miradi mikubwa na pia ufisadi mkubwa wa fedha unaofanywa na watendaji "Report ya CAG" imebainisha na pia hakuna hatua zozote zinazochukuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.