Wakuu
Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji.
Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
Wakuu,
Kama hivi haya ndo maandalizi ya Uchaguzi au nini?
======================================================
Serikali imetoa Sh209 milioni kwa vikundi 18 vya vijana ili kusaidia ujasiriamali na biashara kupitia asilimia 10 ya mapato ya Serikali za mitaa. Vikundi hivyo, vyenye wanachama...
Wakuu hiki kitu masiki tu kuwa. Kuna mikopo inatolewa bila riba kwa. Vijana na CAG kweny taarifa yake allisema mikopo hyo ni chechefu
Na mimi nataka nipate mkopo huu kama raia wa taifa hili
Sifa zangu ni kama zifatazo
Ni raia
Sina kazi
Ni machinga mdogo mdogo
Sina ardhi yoyote
Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26.
Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama wasio-wazalendo wanavyopotosha...
Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba?
Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa?
Baada ya Mwigulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.