Mkopo Tanzania uliopata huu wa masharti nafuu una riba ya asilimia 0.01, unalipwa kwa miaka 40, na una fungate (grace period) ya miaka 25. Yaani unaanza kulipa baada ya mwaka wa 26.
Tanzania haijagawa chochote kubadilishana na mkopo nafuu kutoka Korea kama wasio-wazalendo wanavyopotosha...