mikopo ya wakulima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naomba kujua mikopo ya wakulima kutoka kwenye taasisi za kifedha. Dhamana na riba zake

    Wakuu habari yenu. Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake. Hapa nitaomba kujua dhamana na riba yake pamoja na marejesho. Nawasilisha kwenu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…