Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema utoaji mikopo zaidi kutoka taasisi za kifedha zikiwemo benki, utachochea uwekezaji na ukuaji wa uchumi kupitia sekta mbalimbali zikiwemo biashara na kilimo nchini.
Kikwete alisema uimara wa taasisi za fedha nchini kwa sasa utasaidia zaidi...