Jumla ya Vikundi 52 vya wajasiriamali wadogowadogo wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro vimekabidhiwa Mkopo wa Jumla ya Shilingi Milioni 641 unaotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya wilaya hiyo.
Zoezi lakukabidhi mikopo hiyo limefanyika leo Jumatano April 16, 2025 kwenye...