Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema:
“Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
Kumezuka mtindo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufanya mikutano ya hadhara kwenye stendi za mikoa za mabasi. Leo katibu mkuu wa CCM ndugu Emmanuel Nchimbi ameongoza mkutano wa hadhara katika stendi ya mabasi mjini Babati mkoani Manyara. Jumatano tarehe 5 CCM wamepanga kufanya mkutano wa hadhara...
Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini?
Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
Picha wanazopost wanaosimamia mitandao ya kijamii ya CCM zimejaa sura za wanafunza tena baadhi ya wanafunzi wakiwa na uniform siku za shule; Mfano picha za Mtwara na leo picha za Tanga zimejaa suraza wanafunzi. Kwanini wasiwapige picha watu wazima?
Fanyeni maboresho vinginevyo tafuteni wapiga...
Huo ndio Ukweli japo ni mchungu
Mikutano ya CHADEMA inajaza Watu bila ya uwepo wa Msanii Maarufu yoyote
Wananchi hujitokeza kwa wingi kumsikiliza Msema kweli Tundu Antipas Lisu na siyo kuona maigizo
Tukubali tu kuna maeneo CHADEMA wako vizuri hasa ya " Mvuto"
Jumatano iwe Njema kwako, amen!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.