mikutano ya chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    LGE2024 Utitiri wa Wafuasi na Wananchi kwenye Mikutano ya CHADEMA inatoa ujumbe gani kwa CCM?

    Kila mtu anajua kinachoendelea hapa nchini ikiwa ni jitihada za Serikali na CCM kuhakikisha Chadema hawafanikiwi. Jana ktk Mkutano wa Nyamongo Tarime Uwanja wa Umma umefungwa na kulindwa na askari wenye silaha kwa lengo la kuzuia Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu asidanye mikutano. Hata hivyo...
  2. Red sky

    Kuzuia mikutano ya CHADEMA, ni dharau dhidi ya Rais?

    Kuelekea Siku ya vijana Duniani Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya mkutano mkubwa Jijini Mbeya, katika hali ya kushangaza Jeshi la Polisi Nchini limetangaza kuzuia Mkutano huuo Ambapo wamekuja na hoja dhaifu kua matamko ya viongozi yanaleta taharuki. Pia...
  3. M

    Pre GE2025 Kwa lugha ya picha CHADEMA imekata tamaa!

    Ukweli ambao utawaumiza wazee wa matusi pale ufipa ni juu ya picha za mikutano ya Mwenyekiti wa Chadema ndugu Freeman Mbowe katika ziara ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuanzia Manyara, Kilimanjaro, Arusha na Tanga. Picha zimeonyesha hali mbaya sana kwa chama hicho nimekuletea baadhi ya Picha...
  4. Erythrocyte

    Pre GE2025 Freeman Mbowe aingia Siha, Mbunge wa hapo ajiandae kufungasha virago

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mwamba wa siasa za kisasa Barani Africa, Freeman Mbowe leo 14/07/2024 amefika Siha Mkoani Kilimanjaro, Katika Mwendelezo wa Chama chake kufundisha wananchi namna ya kulikomboa Taifa lao. Amewaambia wananchi hao kwamba Njia pekee na ya Rahisi kabisa ya...
  5. Kidagaa kimemwozea

    Pre GE2025 Maelfu wajitokeza mikutano ya CHADEMA Rombo

    Video: Angalia chadema walivyosepa na Kijiji huko Rombo.
  6. M

    Pre GE2025 Mikutano ya CHADEMA yadoda Vunjo

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika operesheni ya siku 21 ya kukijenga chama hicho kanda ya Kaskazini inayoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho Ndugu Freeman Mbowe imekutana na mahudhurio hafifu sana Jimbo la Vunjo, Moshi DC mkoani Kilimanjaro. Hali hiyo imepelekea Mwenyekiti wa...
  7. Idugunde

    Picha: CHADEMA watapata hata madiwani 2025? Hii dalili mbaya sana

    Bashnet👇
  8. Erythrocyte

    Pre GE2025 CHADEMA Kufanya Mikutano 105 kwa siku 21 tu Kanda ya Kaskazini, Lissu na Mbowe kuongoza Mashambulizi

    Hii ndiyo Taarifa Mpya ya sasa kutoka kwa Viongozi wa Kanda hiyo Zaidi soma hapa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kufanya mikutano 105 katika mikoa minne ya Kanda ya Kaskazini katika Operesheni yake ya kukijenga chama huku wakitarajia kutumia ndege ‘chopa’ katika...
  9. BARD AI

    Tundu Lissu asimulia alikofichwa baada ya kukamatwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametegua kitendawili cha nini kilimpata baada ya kukamatwa Septemba 10, 2023 huku Polisi wakimtaka kuripoti baada ya mwezi mmoja. Lissu, walinzi wake na baadhi ya viongozi wa chama hicho walikamatwa Septemba 11, 2023...
  10. K

    Mikutano ya CHADEMA inavutia watu kwa hoja sio matusi!

    Nilikuwa namaikiliza mzee Msuya kwenye mahojiano. Amekubali kuwa Chadema wanaweza kujenga hoja kwa sasa kuliko CCM. Huu mtindo wa kugeuza udini na matusi ni mbinu za CCM ambazo hazina ushahidi wowote. 1. Bandari mkataba haujapata majibu ya maana 2. Kuhusu Ardhi za ngorongoro wamenyamaza 3. Bei...
  11. ChoiceVariable

    Ney wa Mitego aanza kulialia kwa kuzuiwa kufanya show, akafanye show kwenye mikutano ya CHADEMA

    Kwa kuwa yeye ni mwamba na amechagua kushindana na Serikali basi aache kulia Lia Bali ale My Take Namshauri Bwana Nay awe anapiga Show zake Kwa kutumia majukwaa ya chadomo atakuja kunishukuru. https://www.instagram.com/p/CwvGRWYKxqk/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng== Ney wa mitego amewataka Baraza la...
Back
Top Bottom