Taarifa hii Nyeti imefichuliwa leo kwenye Hitimisho la Mikutano hiyo mikubwa ya kisiasa kuwahi kufanyika katika ngazi za vijiji, lililofanyika Mjini Arusha, Kata ya Murrieth, Idadi ya mikutano 166 katika kipindi kifupi namna hii, tena kwa gharama kubwa za chama cha siasa cha upinzani kwenye...