Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya.
Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
Habari zenu Wakuu,
Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha.
Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa.
Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
Ni kwa nia njema tu katika kulinda haki za watoto.
Kwenye picha za mikutano ya chadema utaona idadi kubwa ya watoto pengine kuliko hata watu wazima. Hii si sawa.
Akili ya watoto haina uwezo wa kupambanua mambo yanayohusu siasa. Badala yake watawatengezea tu msongo wa mawazo.
"Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
Kwa kifupi bado wapo hai sana tofauti na ilivyotegemewa.
Ila wanachama wao wamechoka sana. Wengine wamekata tamaa kabisa na kuachana na siasa, lakini moyoni bado ni wanachadema.
Ingizo jipya? Lipo. Linatoka CCM. CCM inawanyoosha sana wananchi right, left and centre. Hata wale wabishi nao...
Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa.
Nimeona watu wakifurahia sana Jambo hili si wana siasa tu hata wasiokua wanasiasa pia. Lakini kwa upande wa pili hili ni pigo...
Mikutano ya kisiasa itasaidia nini kama bunge halina meno?
Kupiga porojo kwenye majukwaa kutasaidia nini kama bunge haliwezi kuisimamia serikali?
Tulipaswa kuwa na bunge ambalo linaweza kuwadhibiti CCM kuliko kukomaa na kupayuka kwenye majukwaa kama kasuku.
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio.
Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo.
Msikilizeni Dr hapa chini.
Yanaandaliwa maandamano makubwa kuwahi kutokea jijini Mbeya na UVCCM.
Sababu kuu ya maandamano haya ni kumpongeza mama Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa nchini.
Wanadai wao pia walifungwa midomo kwa zaidi ya miaka 5 na walishindwa kupata majukwaa ya kuongelea.
1. Kuhusu Mikutano ya Hadhara na Mikutano ya Ndani ya Vyama Vya Siasa,
Kikosi Kazi kinapendekeza Sheria ya Vyama vya Siasa ifanyiwe marekebisho ili:
a) kulipatia Baraza la Vyama vya Siasa mamlaka ya kuishughulikia suala la uvunjifu wa maadili ya Vyama vya Siasa kupitia Kamati yake ya...
Upinzani ni kioo cha jamii maana hukosoa na kuwaambia watawala makosa wanayofanya.
Upinzani kufanya mikutano ya kisiasa na kueleza sera na mikakati ya kukamata dola sio sababu ya kuzuia wananchi kufanya kazi zao.
Mbona hata kabla hatujapata uhuru TANU ilikuwa inafanya mikutano ya hadhara na...
Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali haijazuia maandamano na mikutano ya kisiasa isipokuwa wanaandaa utaratibu rafiki utakaotumika pasipo kuvunja sheria za nchi.
Kabudi amesema kuwa inatambua umuhimu wa mikutano ya siasa na pindi utaratibu utakapokamilika...
Wadau nchi yetu inaongozwa kwa Mujibu wa KATIBA iliyopo japo kuna Ukiukwaji Mkubwa wa KATIBA Unafanyika na Wenye KINGA Zao.
VYAMA vya SIASA vipo kwa Mujibu wa KATIBA na Shughuli zao zimeainishwa kwa Mujibu wa KATIBA
Toka AWAMU ya 5 imeingia Madarakani IMEVIZUIA VYAMA vya UPINZANI TU kufanya...
Hili binafsi ningeomba viongozi wa vyama vya siasa muelewe vizuri kabisa na hata kama mtahudhuria kikao chenu anachoitisha msajili wa vyama vya siasa na Polisi, mwambieni ukweli kuhusu hili.
Kwa bahati nzuri sana kabla ya kuikacha CCM na kuamua kubaki kufundisha kunoa vijana,nimewahi kua...
Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia.
Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa?
Tunataka...
Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani.
Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.