WAKUU habari zenu.
Katika uchunguzi wangu mdogo nilioufanya nimegundua kwamba waafrika wengi bado wanaendelea na nila zao za zamani japo chinichini ili watu fulani wasijue.
Kwa mfano watu wanaenda sana kwa waganga wa kienyeji wakipatwa na tatizo wakimtegemea kupata suluhu ya matatizo yao...