Moja ya changamoto kubwa nchi Tanzania ni mmomnyoko wa maadili kwa watanzania hasa vijana wengi wa kizazi hiki unaotokana na ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano(UTANDAWAZI).
Tukiwa kama Taifa linaloendana na mabadiliko haya ya dunia jamii ya Tanzania haina budi kuandaa mikakati...
Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani.
Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...