Kama wataniondoa kwenye kabila poa tu:
Ni kitu ambacho naogopa kukisema hapa, ni siri kubwa sana kwenye misiba, ile tunaendaga kuzika home.
Wachaga hukamua viuchafu fulani na kuchanganya kwenye supu au msosi ili watu wengi wakila inasemekana laana ya kifo itakuwa imegawanywa kwa watu wengiii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.