Habari Wakuu!
Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M).
Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo nashukuru mtandao wa JamiiForums chini ya Maxence Melo hatimaye nimeweza kuvuna idea 3 muhimu kupitia...