milioni 2

The Six Million Dollar Man is an American science fiction and action television series, running from 1973 to 1978, about a former astronaut, USAF Colonel Steve Austin, portrayed by Lee Majors. After a NASA test flight accident, Austin is rebuilt with superhuman strength, speed, and vision due to bionic implants and is employed as a secret agent by a fictional U.S. government office titled OSI. The series was based on Martin Caidin's 1972 novel Cyborg, which was the working title of the series during pre-production.Following three television pilot movies, which all aired in 1973, The Six Million Dollar Man television series aired on the ABC network as a regular episodic series for five seasons from 1974 to 1978. Steve Austin became a pop culture icon of the 1970s.
A spin-off television series, The Bionic Woman, featuring the lead female character Jaime Sommers, ran from 1976 to 1978. Three television movies featuring both bionic characters were also produced from 1987 to 1994.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  2. Nahitaji mkopo wa shilingi milioni 2

    Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
  3. G

    Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  4. G

    Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  5. Mbunge Aloyce Kwezi Atoa Milioni 2 Kujenga Choo cha Kisasa Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kaliua

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATOA MILIONI 2 KUJENGA CHOO CHA KISASA SHULE YA MSINGI MWAMANSHIMBA Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Mhe. Aloyce Kwezi tarehe 04 Oktoba, 2024 akiwa kwenye mahafali iliyofanyika katika Shule ya Msingi Mwamanshimba, Kata ya Ushokola Wilayani Kaliua. Mhe. Aloyce Kwezi akiwa katika...
  6. Inahitajika google play console haraka sana offa ya milioni 2 ipo mezani.

    Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).πŸ’²πŸ’² Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘ β˜ŽοΈπŸ‘‰ 0711707070 Sifa za account 1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe 2.Iwe na app...
  7. TANROADS yatoa msaada wa vifaa tiba vya zaidi ya milioni 2 katika kilele cha wiki ya utumishi wa umma

    TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
  8. X

    Donald Trump ajiunga TikTok ndani ya masaa 24 tu amepata followers milioni 2

    Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi. Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi kuliko posts zote kutoka kwa @BidenHQ katika muda wa miezi 4 ambao wamekuwa kwenye TikTok. Tutashuhudia...
  9. Mipango yangu ya kutafuta TSH milioni 2+ ndani ya miezi 18

    Habari za humu ndugu zangu, mm ni yule yule ndugu yenu wa kuishia LA7, Leo nimekuja na plani ya kuisaka milioni zaidi ya 2 ndani ya miezi 18 Ukweli mimi toka nizaliwe pesa yangu cash niliyoishika na umri wangu huh wa zaidi ya miaka 25 ilikuwa ni laki nne na sabini ambayo niliikusanya kwa...
  10. Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  11. Mbunge Martha Mariki Achangia UWT Milioni 2 na Mifuko 60 ya Saruji Ujenzi Nyumba za Makatibu UWT Wilaya ya Mpanda na UWT Mkoa wa Katavi

    MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa Katavi. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya...
  12. Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam. Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari...
  13. Tukio hili la leo si la kupuuzia, Mhusika awekwe kiuzuizini, alipe faini ya milioni 2 na kifungo kisichopungua miaka 2

    Nilitaka niposti kwenye jukwaa la michezo ila kwa hili lililotokea lina kipaumbele cha amani tuliyonayo kutiwa doa kuzidi sheria za mpira, Kuna timu kutokea Kigoma inaitwa Mashujaa, leo walikuwa wanacheza mechi yao ya mwisho dhidi ya Mbeya City kufuzu kuingia rasmi kwenye ligi kuu, Mechi...
  14. Afisa Mtendaji afungwa kifungo cha nje na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 2 alizoiba

    Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Wilaya ya Mbozi, mkoani Songwe ikihusisha kesi ya Jinai No. 38/2023 dhidi ya Nassim Mbazu ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ipapa, Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Mshtakiwa alikutwa na kosa la Wizi huku akiwa Mtumishi...
  15. Yanga ikitwaa Kombe la Shirikisho itapata Tsh. Bilioni 4.7, ikifungwa itapata Tsh. Bilioni 2.3

    Shirikisho la Soka Afrika limetangaza ongezeko la Asilimia 40 katika zawadi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, ivi ndivyo viwango vipya vya fedha kwa kila hatua; Ligi ya Mabingwa Afrika Bingwa: Dola Milioni 4 (Tsh. Bilioni 9.4) Wa pili: Dola Milioni 2 (Tsh. Bilioni 4.7)...
  16. Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  17. Fatma Rembo achangia Milioni 2 UWT Mufindi, aahidi kutoa pikipiki Wilaya zote za Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
  18. J

    Shaka: Zaidi ya wanachama milioni 2 wamejitokeza kuomba kuteuliwa kugombea nafasi mbalimbali

    Ni dhahiri kabisa CCM ndio Chama kinachoongoza kwa kupendwa na kuaminiwa zaidi na Watanzania walio wengi. Ushahidi wa wazi ni idadi hii kubwa ya Wananchi wanaotaka kukiongoza chama hiki pendwa zaidi kusini mwa jangwa la Sahara. #KARIBU CCM CHAMA CHA WAJANJA WAADILIFU
  19. TCRA yaipiga faini ya Tsh. Milioni 2 Zama Mpya TV (Dar Mpya), Maudhui ya Afande Sele kuhusu Tozo yatajwa

    Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA)imeiamuru ZamaMpya TV Online kulipa faini Shilingi Milioni Mbili (2,000,000) ndani ya siku 21 kufuatia kuchapisha hisiyo na midhania ya habari. Taarifa hiyo ilihusu maudhui ya Selemani Msindi (Afande Sele) ambayo yanatuhumiwa kuwa ya...
  20. Nimempiga mke wangu milioni 2 kizembe sana

    Kwa ufupi sana. Kuna wakati wife alipata changamoto ya kiafya. Matibabu yalikuwa gharama kidogo kutokana na safari za hapa na pale. Kuna wakati akiba ikakata ikabidi nijikopeshe kupitia vyanzo vingine. Siku moja nikachukua kadi na kuchungulia akaunti yake nikakuta ina milioni saba imetulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…