Hivi karibuni watumishi katika idara mbalimbali wamekuwa wakipokea meseji kutoka NMB Benki zikiwataka kukopa hadi milioni 200 huku Benki ikijua kuwa watumishi hao hawakopesheki kutokana na mikopo walaiyo nayo.
NMB acheni kuwahadaa watumishi.
Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri.
Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi.
Kibu Denis ana jinamizi au...
Hapa namaanisha kiwanja kilichopimwa, kinachotazama barabara ambayo iko busy mahali ambapo naweza kujenga jengo la biashara na ofisi.
Kiwe na full documents, kisiwe na migogoro, mauziano yafanyike mbele ya mawakili wasomi na wataalamu wa mambo ya ardhi bila kusahau viongozi wa eneo husika.
Je...
JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. 214,253,955.11.
Zoezi hilo limeshuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la kupata ufafanuzi wa yale aliyofanya ndani ya miaka sita ya Ubalozi Nchini humo.
Balozi Kairuki...
Mabingwa mara nne wa Ligi Kuu Uganda, Vipers SC wameweka dau mezani kwa nia ya kumshusha kikosi hapo straika matata wa Yanga, Fiston Mayele msimu ujao.
Chanzo chao kimeeleza kuwa uongozi wa klabu hiyo umeanza mazungumzo yakimuhusisha meneja wa mchezaji huyo pamoja na uongozi wa Yanga.
"Ndiyo...
Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro.
Mwenyekiti wa...
MILIONI 200 ZAJENGA MADARASA LUDEWA, KAMATI YA SIASA YAPITA KIKAGUA
Ikiwa tunaelekea mwezi Januari mwezi ambao wanafunzi huripoti shuleni kuanza na kuendelea na masomo yao, kamati ya siasa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe imefanya ziara ya kukagua vyumba 10 vya madarasa katika sekondari...
Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200.
Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA katika Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Gilbert William Chawe tarehe 16 Septemba, 2022 alifikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dodoma kwa tuhuma za ukiukwaji wa maadili ikiwa ni pamoja nakukopa kiasi...
Katika hali kama hii ndipo unapoona wazi wazi bila kificho kwamba pesa zina elements kubwa sana za ushetani.
Mchezaji wa PSG (timu hii inamilikiwa na shehe tajiri) wiki iliyopita alikataa kuvaa jezi yenye rangi za kuunga mkono ushoga, usagaji na kubadili jinsia, sababu yake kuu ni kwamba ni...
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.