Wakuu hii taarifa nimekutana nayo Facebook je, ni ya kweli?
𝐁𝐎𝐍𝐈 𝐘𝐀𝐈 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐔𝐙𝐔𝐋𝐔 𝐍𝐀𝐅𝐀𝐒𝐈 𝐘𝐀 𝐔𝐄𝐍𝐘𝐄𝐊𝐈𝐓𝐈 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐀𝐍𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐏𝐖𝐀𝐍𝐈
Habari za ndani kabisa ya CHADEMA zinasema bundi ameendelea kulia; safari hii Boni Yai akitajwa kuwa mbioni kujiuzulu kutoka nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
JamiiCheck tafadhali mtusaidie kupata uhalisia wa hii
=====
𝐌𝐀𝐑𝐈𝐀 𝐒𝐀𝐑𝐔𝐍𝐆𝐈 : 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐇𝐈𝐍𝐃𝐖𝐀 𝐕𝐈𝐁𝐀𝐘𝐀 𝐔𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐙𝐈 𝐌𝐊𝐔𝐔 𝐖𝐀 2025
Mwanaharakati Maria Sarungi ametoa maoni makali kuhusu mustakabali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kupitia mtandao wa X...
Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita.
Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
Habari watanzania wote.
Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo.
Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na kilichopangwa nyuma yao.
Naombeni niwaambie ukweli, yule maulid anaweza kusamehewa, lakini nyie...
Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.
Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
Habari wadau.
Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili.
Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini
Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
"""Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani!
Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo.
Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada.
Pia soma
Zuchi Zuchero...
Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo.
Mara ya kwanza nilipoiona hiyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa...
Habari wadau,
Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake.
Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25.
Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu.
Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
Tanzania nimiongoni mwa nchi ambazo zinapambana kujikwamua katika umaskini ili kuwa nauchumi wa juu barani africa,katika kufanikisha hayo nilazima kama nchi tuchague kuwekeza katika tafiti za kisayansi hapa kuna njia ya kweli yamafanikio.
Tanzania inatumia fedha nyingi sana katika sekta ya afya...
Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza.
Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida.
Sasa nilitaka kujua huko nje...
Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna.
Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka...
Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna ukweli, unampa neno gani Millard?
Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu.
Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa...
One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.
Ni kwa...
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV.
Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.