millard ayo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SI KWELI Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema Lissu adai wanawake ni dhaifu sana?
  2. SI KWELI Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema 'Boni Yai kujiuzulu uenyekiti CHADEMA kanda ya pwani'

    Wakuu hii taarifa nimekutana nayo Facebook je, ni ya kweli? 𝐁𝐎𝐍𝐈 π˜π€πˆ πŠπ”π‰πˆπ”π™π”π‹π” ππ€π…π€π’πˆ π˜π€ π”π„ππ˜π„πŠπˆπ“πˆ π‚π‡π€πƒπ„πŒπ€ πŠπ€ππƒπ€ π˜π€ ππ–π€ππˆ Habari za ndani kabisa ya CHADEMA zinasema bundi ameendelea kulia; safari hii Boni Yai akitajwa kuwa mbioni kujiuzulu kutoka nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho Kanda ya...
  3. SI KWELI Millard Ayo amechapisha taarifa inayosema CHADEMA kushindwa uchaguzi mkuu 2025 kwa sababu ya migogoro

    JamiiCheck tafadhali mtusaidie kupata uhalisia wa hii ===== πŒπ€π‘πˆπ€ π’π€π‘π”ππ†πˆ : π‚π‡π€πƒπ„πŒπ€ πŠπ”π’π‡πˆππƒπ–π€ π•πˆππ€π˜π€ π”π‚π‡π€π†π”π™πˆ πŒπŠπ”π” 𝐖𝐀 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi ametoa maoni makali kuhusu mustakabali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025. Kupitia mtandao wa X...
  4. Viungo vya Mtoto aliyepotea vyapatikana Monduli, Ripota wa Millard Ayo anyang’anywa kadi ya kamera wakati akirekodi

    Kuna tukio limetokea hapa mtaani kwetu Monduli, Arusha, kuna Watoto wawili walipotea katika mazingira ya kutatanisha siku kadhaa zilizopita. Leo tarehe 19, Septemba 2024 mmoja kati ya Watoto wale mwili wake umeonekana maeneo fulani, Mwandishi wa MillardAyo.com akafika hadi eneo la tukio kwa...
  5. C

    Millard Ayo na JamboTV hamtasamehewa kamwe

    Habari watanzania wote. Nijikite moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kilivyo. Katika hali isiyo ya kawaida, kuna media zimeanza propaganda ambayo wao wanafikiri hatujui hesabu zao na kilichopangwa nyuma yao. Naombeni niwaambie ukweli, yule maulid anaweza kusamehewa, lakini nyie...
  6. Je, ni kwanini Millard Ayo na Mkurugenzi wa TANAPA wasishtakiwe kwa uhujumu uchumi?

    Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu. Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
  7. M

    Harusi za wenye hela Samatta, Majizo, Lulu, Millard Ayo zipo simple hakuna sherehe. Ila Harusi za vijana hohehahe tunakabana michango

    Habari wadau. Najiuliza kwa nini vijana matajiri wenye hela wanafanya harusi simple zisizo na michango wala sherehe kubwa zisizozidi bajeti hata milioni mbili. Mbwana Samatta alifunga ndoa akiwa anacheza mpira ulaya hakuna sherehe wala nini Majizo mmiliki wa EFM alifunga ndoa na Lulu...
  8. TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi πŸ™ nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  9. Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  10. M

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Mzuka Wanajamvi! Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds Gardner G Habash huko Rombo. Mara ya kwanza nilipoiona hiyo picha nilidhani Millard ni mgambo mlinzi wa...
  11. Millard Ayo, kimetokea nini? Mbona umefungiwa Google?

    Ukiingia tu kwenye website ya millardayo.com unakutana na message hii.
  12. F

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini mwenzangu. Anategema ajira na mshahara ni wa kawaida tu. Why ana akili ndogo namna hii ya kuchezea pesa...
  13. Y

    SoC03 Tuwekeze katika tafitizi za kisayansi kama tunataka maendeleo ya nchi na watu

    Tanzania nimiongoni mwa nchi ambazo zinapambana kujikwamua katika umaskini ili kuwa nauchumi wa juu barani africa,katika kufanikisha hayo nilazima kama nchi tuchague kuwekeza katika tafiti za kisayansi hapa kuna njia ya kweli yamafanikio. Tanzania inatumia fedha nyingi sana katika sekta ya afya...
  14. Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

    Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
  15. Sijawahi kuwasikia Millard Ayo au Maulid Kitenge wakiongea Kiingereza

    Hawa jamaa naona wana safari sana za kwenda nje, lakini sijawahi kuwasikia walau wakiongea hata sentence moja tu ya lugha ya kiingereza. Mahojiano wanayoyafanya huko nje huwa ni wanawahoji Watanzania wenzetu tu na lugha inayotumika ni kiswahili kama kawaida. Sasa nilitaka kujua huko nje...
  16. Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

    Jamaa alijifanya kama kijana fulani ambae mbususu sio inshu sana kwake,hata siku moja hakuwahi kuonekana kuwa na demu ambae watu wangehisi hata kuwa jamaa anatafuna. Jamaa kila siku alkuwa busy kuisaka pesa aendelee kujitajirisha,na vijana wengi sana walitamani kuishi kama yeye yaani unazisaka...
  17. Tetesi: Millard Ayo afunga ndoa kimya kimya

    Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna ukweli, unampa neno gani Millard?
  18. Mfahamu Millard Ayo

    Millard Afrael Ayo majina mengine ya utani Muyenjwa Laizer alizaliwa Arusha January 26 1986 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu. Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa...
  19. Millard Ayo: Bilionea mstaarabu

    One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu. Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana. Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5. Ni kwa...
  20. TANZIA Mpiga picha wa Ayo TV, Nellyson Grigery afariki dunia

    Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV. Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…