Millennium Tower was a 180-floor skyscraper that was envisioned by architect Sir Norman Foster in 1989. He intended for it to be built in Tokyo Bay, 2 km offshore from Tokyo, Japan.
Poleni sana wakazi wa Dar na wahanga wa ajali, nimeona kwenye mitandao hii habari nikatamani kujua vingi, na ningekuwa Dar ningefika hata eneo la tukio for physical observation.
Nimeona Mtu kutoka jeshi la Zimamoto na Uokoaji akisema kuwa Sababu kuu za kudondoka kwa lift ya jengo la Millenium...
Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10.
Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja.
---
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.