Wabunge watatu wamejeruhiwa Jumanne, mmoja wao akiwa katika hali mbaya, baada ya vurugu kuzuka bungeni Serbia huku fataki na mabomu ya moshi yakirushwa.
Mvutano ulianza wakati wa kikao cha kupiga kura kuhusu ufadhili wa elimu ya juu, ambapo upinzani ulidai kikao hicho si halali kabla ya...