Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kabla ya kifo cha aliyekuwa mfanyakazi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), Milton Lupa kimetokea akiwa njiani kuripoti katika wadhifa mpya.
Hasunga amesema alizungumza naye siku tatu kabla kuhusu uhamisho wake kutoka katika...
Kuteuliwa kwa marehemu Milton Lupa kuwa DED huko Kilolo Iringa kumeleta tafsiri tofauti vichwani mwa watu. Je, waliopo hai nafasi hawapewi, wanapewa marehemu?
Au walio hai hawatoshi au hawafai?
Serikali imekaa kimya bila kulitolea ufafanuzi jambo hili.
Nimesikia kuna Mwamba kalamba Uteuzi akiwa Kaburini. Ni siku nyingi wadau tumepiga kelele juu ya huu MFUMO wetu wa kujitawala kwamba umepitwa na wakati na NI WA KIKOLONI, cha kushangaza CCM wanatuona hamnazo. Sasa jana Mungu amewaumbua baada ya Maiti kupewa teuzi😁😁😁.
Rais apunguziwe mamlaka...
Yaani pamoja na wengine kuipambania CCM humu kwa kiwango hata cha kujidhalilisha, huku mkijitutumua kwa kuweka hata namba zenu za simu ili mkumbukwe, lakini mwisho wa siku mnaishiwa kupewa vocha tu!
Kitendo cha Mamlaka kuteua waliokufa na kuwapuuza nyie mlio hai, Si tu kwamba kimewadhalilisha...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Pia, soma=> Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko ya watendaji wa Serikali. Zuhura Yunus aondolewa Ukurugenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.