Nimesikia kuna Mwamba kalamba Uteuzi akiwa Kaburini. Ni siku nyingi wadau tumepiga kelele juu ya huu MFUMO wetu wa kujitawala kwamba umepitwa na wakati na NI WA KIKOLONI, cha kushangaza CCM wanatuona hamnazo. Sasa jana Mungu amewaumbua baada ya Maiti kupewa teuzi😁😁😁.
Rais apunguziwe mamlaka...