Habari za Muda Huu waungwana,
Kwa wale Mliowahi kupata Watoto, mkawakuza mpaka Wakakua na afya njema, Mlizingatia mambo yapi Pindi walipozaliwa?
Mimi niliwahi kupata mtoto, Bahati mbaya akafariki, Ninaomba kujuzwa wa wenye uzoefu ni mambo gani Muhimu kuzingatia.
Mambo baadhi ninayohutaji...
"Mama kuwa na umri zaidi ya miaka 35 au Baba kuwa na miaka zaidi ya 40 kunaweza kupelekea kupata mtoto mwenye mtindio wa ubongo, kupata infection wakati wa ujauzito, Mama mjamzito kuumia sababu zipo nyingi ambazo zinapeleka mtoto kuzaliwa na mtindio wa ubongo" Dkt. Alvin Miranda.
vijana wenye...
Mwezi wa pili mke anajifungua na mtoto kufariki, mwezi wa nne mke anapata mimba nyingine. Ni sahihi wadau kiafya na kisaikolojia ya mke?
Karibuni wadau kwa elimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.