Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja...
Naomba kujua je huko nchi zilizoendelea na penyewe watu bado wanapeana mimba zisizotarajiwa kwa sababu tu ya kunogewa na penzi au huko walishatoka hio level na kwamba Lazima mimba ipangwe.
Huku kwetu ni kawaida mwanaume huna hili wala lile unashangaa Unaletewa Habari ya ujauzito ok nataka nijue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.