Niliachana na mke wangu mwaka jana baada ya kutofautiana mienendo. Japo hatukufunga ndoa ila nilimposa na kila kitu tulikamilisha tukaanza maisha.
Baadae niliamua kutafta mwanamke mwingine tukawa na mahusiano ya kawaida tu, na hatukuwa tukiishi wote. Mwezi uliopita tulizinguana na kila mmoja...