Habari zenu.
Naulizia kwa anayejua, ni Miche gani unaweza panda kama una eneo lako kwa ajili ya kama uzio au Fensi ambayo ndani ya wiki kadhaa inakuwa ishakuwa Fensi kamili? Ukiacha michongoma inayotumia muda mrefu kuota.
Kwa anayejua aniambie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.